johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Heee........kumbe alikuwa anavuta pesa ndefu!Kifupi mkataba wake ulikuwa sawa na masalahi yote ya mbunge kuanzia mafuta mpka posho na mishahara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee........kumbe alikuwa anavuta pesa ndefu!Kifupi mkataba wake ulikuwa sawa na masalahi yote ya mbunge kuanzia mafuta mpka posho na mishahara.
Kifupi mkataba wake ulikuwa sawa na masalahi yote ya mbunge kuanzia mafuta mpka posho na mishahara.
Dr. aliharibiwa na ile nyumba yake ndogo....maana ilienda pale kwa mkakati wa u-festi ledi...iliposhindikana Lumumba wakaja na dau maza akalipitisha sasa hivi wanakula bata kwa mrija.
Wala siuongo chadema waliingia naye makubaliano ili agombe uraisi 2010 akikosa watamlipa mshahara wa mbunge na marupurupu kama ya mbungeAcha urongo bwashee 12m p/m?!
Slaa au Mashinji bwashee?!Wala siuongo chadema waliingia naye makubaliano ili agombe uraisi 2010 akikosa watamlipa mshahara wa mbunge na marupurupu kama ya mbunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi?
Mkuu, usihangaike kuuliza maswal ya maana kwa wasio na uelewa. Mleta mada ameshindwa hata kusema kama madeni hayo ni kabla hajawa Katibu mkuu, au CHADEMA alikuwa mdhamini. Ameshindwa kutambua malengo binafsi ya wadaiwa na ameona "kudaiwa" ni kashfa. Na ndio hawa hawa wanashadidia "tunakopesheka". Hajui hata dhana tu ya "ninadaiwa" imekuwa ni msaada mkubwa wa watu kuwa na finacial discipline.
Nchii hii ina vijana wajinga wengi sana.