Je, Katibu Mwenezi mpya wa CCM atatokea kwa wahamiaji? Halima Mdee na Nusrat Hanje watajwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Upo uvumi kwamba Mrithi wa Sophia Mjema huenda akawa miongoni mwa wale Wabunge wasio na Chama ambao waliapishwa na Ndugai kwenye Gereji ya Bunge.

Halima Mdee na Nusrat Hanje wanatajwa kujaza nafasi hiyo (tetesi).

Hutakiwi kupuuza jambo hili , kwa vile ni dhahiri kwamba CCM imeishiwa watu, ndio maana hata Katibu Mkuu wa UVCCM ni miongoni mwa wale waliounga Juhudi wakati wa awamu ya 5.
 
sasa itakuaje kamanada mkuu?
ni Paulo Makonda bana sasa itakuaje na tunajipangaje?
 
Back
Top Bottom