Je katika hili ninaweza kufadhiliwa

Je katika hili ninaweza kufadhiliwa

wakusepa

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
83
Reaction score
5
Jaman nahtaj kwenda kusoma diploma ya sheria kule Tanga lakini sina uwezo wa ku-pay school fs na hata ndugu zng hawako na uwezo huo.mbali zaidi mimi ni yatima.
Je naweza kupata mtu wa kunifadhili kunisomesha?
Je ntampata wap? Na nianze vipi kumpata na je wanahtaj vigezo gan kuw sponsord
tafadharn nishaurn
 
Back
Top Bottom