Je, KATIKA HILI WANAUME NI MALAYA AU WANATIMIZA WAJIBU?

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
Mara nyingi kuna neno ambalo limekuwa likitumika katika jamii hasa kwa mwanaume anayemiliki zaidi ya mke mmoja kuwa ni malaya. Lakini ukirejea katika vitabu vitakatifu vinasema ..... enyi wanaume wapeni haki zao wake zenu, nanyi wanawake msiwanyime waume zenu kwa kuwa mmeumbwa kwa ajili yao. Nauliza hivyo kwa kuwa ukijakuangalia takwimu zinatuambia kuwa idadi ya wanawake ni mara kadhaa ukilinganisha na idadi ya wanaume. Sasa swali langu ni hili kama mwanaume atang'ang'ania mwanamke mmoja, je, hawa wengine watapata wapi huduma hiyo muhimu? Kwa maana nyingine hamuoni kuwa mwanaume ni jukumu lake kufanya hivyo kama sehemu ya kutimiza maandiko na kugawa haki kwa kila anayestahili kuipata?????
Nawasilisha.
 
Kasome tena maandiko (uliyotumia) halafu urejee kwenye tundiko lako!
 
Umesoma kimwili not spritualy. Nenda kapate tuition ya bible. Halaf uje utupe feedback
 
Wanaume malaya ndio wana tabia ya kutumia quote toka vitabu vya dini (kama ya kweli au si kweli) kuhalalisha umalaya wao. Hivi kabla hatujaletewa dini ya kikristo watu walikuwa wanaquote nini?? Hata siku moja hatuwezi kuendelea tukiendekeza tamaa za mwili. Angalia jamii zinazoendekeza tamaa za mwili zilikoishia, halafu angalia jamii zilizoshikamana (mama mmoja, baba mmoja kama familia) halafu angalia zinavyosonga mbele. Too much of a good thing (women) can't be good for you. Tumia muda wako kujenga familia imara, kuonesha mfano mzuri kwa watoto wako, na kuwa na mawazo ya mbali!

Mara nyingi kuna neno ambalo limekuwa likitumika katika jamii hasa kwa mwanaume anayemiliki zaidi ya mke mmoja kuwa ni malaya. Lakini ukirejea katika vitabu vitakatifu vinasema ..... enyi wanaume wapeni haki zao wake zenu, nanyi wanawake msiwanyime waume zenu kwa kuwa mmeumbwa kwa ajili yao. Nauliza hivyo kwa kuwa ukijakuangalia takwimu zinatuambia kuwa idadi ya wanawake ni mara kadhaa ukilinganisha na idadi ya wanaume. Sasa swali langu ni hili kama mwanaume atang'ang'ania mwanamke mmoja, je, hawa wengine watapata wapi huduma hiyo muhimu? Kwa maana nyingine hamuoni kuwa mwanaume ni jukumu lake kufanya hivyo kama sehemu ya kutimiza maandiko na kugawa haki kwa kila anayestahili kuipata?????
Nawasilisha.
 
kwa waislam katika Quran, "oeni (wanaambiwa wanaume) wawili, watatu au wanne miongoni mwa wanawake, kama mnahisi hamtakua waadilifu kwao basi oeni mmoja"
 
Mara nyingi kuna neno ambalo limekuwa likitumika katika jamii hasa kwa mwanaume anayemiliki zaidi ya mke mmoja kuwa ni malaya. Lakini ukirejea katika vitabu vitakatifu vinasema ..... enyi wanaume wapeni haki zao wake zenu, nanyi wanawake msiwanyime waume zenu kwa kuwa mmeumbwa kwa ajili yao. Nauliza hivyo kwa kuwa ukijakuangalia takwimu zinatuambia kuwa idadi ya wanawake ni mara kadhaa ukilinganisha na idadi ya wanaume. Sasa swali langu ni hili kama mwanaume atang'ang'ania mwanamke mmoja, je, hawa wengine watapata wapi huduma hiyo muhimu? Kwa maana nyingine hamuoni kuwa mwanaume ni jukumu lake kufanya hivyo kama sehemu ya kutimiza maandiko na kugawa haki kwa kila anayestahili kuipata?????
Nawasilisha.

Sikubaliani nawe, unavyo halalisha uasherati kwa kunukuu maandiko matakatifu,
sasa napenda nikwambie ufahamu wako ktk maana halisi ya jambo hilo ni finyu,
maana uelewa wako ni kile wanachokiita wachambuzi wa maandiko matakatifu LITERAL TRASLATION kwa kujaribu kuhalalisha maneno yako mabaya ili yaonekane kuwa mazuri.
 
Mr. ABLE: Lakini si kweli kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume? kwangu mimi hilo ndilo swali langu la msingi, na kama ni hivyo, Je, hawa wengine haki yao ipo wapi?
Hapa suala siyo kushambulia mleta mada bali tuijadili mada yenyewe.
 
Back
Top Bottom