Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 489
Mara nyingi kuna neno ambalo limekuwa likitumika katika jamii hasa kwa mwanaume anayemiliki zaidi ya mke mmoja kuwa ni malaya. Lakini ukirejea katika vitabu vitakatifu vinasema ..... enyi wanaume wapeni haki zao wake zenu, nanyi wanawake msiwanyime waume zenu kwa kuwa mmeumbwa kwa ajili yao. Nauliza hivyo kwa kuwa ukijakuangalia takwimu zinatuambia kuwa idadi ya wanawake ni mara kadhaa ukilinganisha na idadi ya wanaume. Sasa swali langu ni hili kama mwanaume atang'ang'ania mwanamke mmoja, je, hawa wengine watapata wapi huduma hiyo muhimu? Kwa maana nyingine hamuoni kuwa mwanaume ni jukumu lake kufanya hivyo kama sehemu ya kutimiza maandiko na kugawa haki kwa kila anayestahili kuipata?????
Nawasilisha.
Nawasilisha.