britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
HahaDiaspora wakitusaidia ni utakatishaji pesa
Mataga sio kabisa
Toa maelezo namba 2Mfano mdogo.
1. Kuhujumu uchumi. Kujiunganishia maji ya Bomba kinyemela.
2.Kutakatisha fedha
Kuvuka na rundo la pesa kutoka nje ya nchi bila utaratibu
Kutakatisha fedha ni kua na fedha ambazo ulizipata kwa njia isiyo ya halali kisha ukaanzisha labda biashara fulani ya halali ili kuzuga kua ile biashara ndio inakuingizia kipato kumbe ile biashara unazuga tu ili utakapokua unatumia zile hela haramu ionekane ni kama unatumia hela unazopata kwenye hiyo biashara ya halali,Toa maelezo namba 2
MagendoToa maelezo namba 2
Safi sana.Kutakatisha fedha ni kua na fedha ambazo ulizipata kwa njia isiyo ya halali kisha ukaanzisha labda biashara fulani ya halali ili kuzuga kua ile biashara ndio inakuingizia kipato kumbe ile biashara unazuga tu ili utakapokua unatumia zile hela haramu ionekane ni kama unatumia hela unazopata kwenye hiyo biashara ya halali,
Kwa kifupi,kutakatisha fedha ni kuzifanya fedha ulizozipata kwa njia ya haramu zionekane kama ulizipata kwa njia ya halali ili kukwepa kuulizwa fedha zote hizo umezipata kwa njia ipi?
Wajuzi watatusaidia zaidi.
Dogo inakuwaje. Una swagger flan hivi Nashindwa kukuelewa. Unaweza potea jamvini kama wiki mbili hivi. Halafu ghafla unaibuka na mfululizo wa vithread, mada na comments UCHWARAWatu wengi hatuna idea juu ya maana halisi ya kutakatisha Pesa, mbaya zaidi wengine wanadhani uhujumu uchumi ni sawa na kutakatisha pesa,
Tudadavue hapa.
Je, katika shughuli za raia wa Tanzania wa kawaida anaweza kuwa anahujumu au kutakatisha pesa bila kujua?
Yes, kwa mfano wale wanaouza chenji kwenye vituo vya daladala ule ni uhujumu uchumi sababu anauza pesa unakuta anakuuzia Mia Mia ikiwa 900 unampa 1000 yeye anapata shng 100.Watu wengi hatuna idea juu ya maana halisi ya kutakatisha Pesa, mbaya zaidi wengine wanadhani uhujumu uchumi ni sawa na kutakatisha pesa,
Tudadavue hapa.
Je, katika shughuli za raia wa Tanzania wa kawaida anaweza kuwa anahujumu au kutakatisha pesa bila kujua?
DogoDogo inakuwaje. Una swagger flan hivi Nashindwa kukuelewa. Unaweza potea jamvini kama wiki mbili hivi. Halafu ghafla unaibuka na mfululizo wa vithread, mada na comments UCHWARA
Hiki kitenzi kinazaliwa na kiswahili kitarafa.Watu wengi hatuna idea juu ya maana halisi ya kutakatisha Pesa, mbaya zaidi wengine wanadhani uhujumu uchumi ni sawa na kutakatisha pesa,
Tudadavue hapa.
Je, katika shughuli za raia wa Tanzania wa kawaida anaweza kuwa anahujumu au kutakatisha pesa bila kujua?