Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
UpuuziKwanza kabisa tumsikilize Tundu lissu kuhusu Mali za Tanzania ..
View attachment 2692191
Pili .. binafsi sina shaka na alichokiongea Tundu lissu kuhusu JPM .
Mwisho...kama wewe ungekuwa ndio Hayati JPM umeingia madarakani na kukuta kuna Tenda au Mikataba ya hovyo inaumiza taifa kama anavyoiita Tundu Lissu ,ungefanyaje ?
Na ukishapata jibu ,jiuliza tuendelee kumlaumu au tumpongeze kwa ujasiri wake japo tumepata hasara .
Kwanza kabisa tumsikilize Tundu lissu kuhusu Mali za Tanzania ..
View attachment 2692191
Pili .. binafsi sina shaka na alichokiongea Tundu lissu kuhusu JPM...
Kwa mchango huu mkuu, unapaswa kuwa ngazi za juu kabisa za kiuongozi katika nchi yangu hii TanzaniaNaona baadhi wakiona jina Magufuli huwa bongo zao zinaganda, fikra zinasimama, matokeo yake wanakuja na majibu waliyokariri miaka karibia mitatu iliyopita, hawataki kujiuliza jambo gani lipo mezani linajadiliwa kumhusu Magufuli, kisha wapime kama lina ukweli au hapana...
Mikataba ya kinyonyaji iliyoingiwa na waliokuwa wakidhani ni wasomi kwa nyakati hizo, kumbe ni vilaza wakubwa, mikataba ya 2% na 98% anachukua mwekezaji ni bora kuvunjwa ili tuanze upya..ukivunja mkataba utashtakiwa na uhakika wa kushindwa ni 100%.
..namna ya kwanza ya kujinasua ni kujadiliana na ulioingia nao mkataba ili kurekebisha...
Kwani wakati nchi inaingia hiyo mikataba ya hovyo yeye si alikuwa kwenye baraza la mawaziri? Unasema alipoingia madarakani kana kwamba alitoka nje ya nchi? Ni lini aliwahi kujitokeza hadharani kuonyesha kuwa nchi inaingia mikataba mibovu?Kwanza kabisa tumsikilize Tundu lissu kuhusu Mali za Tanzania ..
View attachment 2692191
Pili .. binafsi sina shaka na alichokiongea Tundu lissu kuhusu JPM...
AiseeKwa mchango huu mkuu, unapaswa kuwa ngazi za juu kabisa za kiuongozi katika nchi yangu hii Tanzania
Nitakuombea kwa anayegawa vipawa aridhie ombi langu!
Ni upumbavu kuendelea kulea mimba yenye upepo ndani hakuna mtoto!Kuwa na uchungu bila kutumia akili ni ujinga mtupu. Unavunja mkataba kibabe wakati unajua ni suala la muda tu utakuja kulipishwa mabilioni? Nchi inaingozwa kwa mashauriano sio ubabe wa mtu mmoja. Viatu vya Magu vinavalika. Mama Samia kavivaa vizuri na anafanya mambo makubwa kwa njia za kidiplomasia. Awamu ya 5 ilitudanganya tunaidai Barrick trilioni 495. Jiulize kama uongozi wa juu kabisa unaweza kuwadanganya wananchi huo uongozi ulikuwa wa aina gani?