Habari za kazi ndugu zangu .
Kama ilivyo vyema, nimekuja kwenu, kuomba fulsa, kwa watu wote wewe ni kampuni, tahasisi, biashara au mtu binafsi, mwenye uwezo wa kuniunganisha na tender (zabuni) tufanye kazi, upate kazi (zingatia hapa kwa umakini) , kampuni yetu, inapenda kuwashukuru wote...