ormystatus
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 262
- 464
Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom.
Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara inaendelea.
Naamini Mitandao ya kijamii ni sehemu sahihi kabisa kwangu na kwa watu wote kupata misaada-Natamani iendelee kuwa hivyo.
LEO NAKUJA NA JAMBO LINGINE, kAMA IFUATAVYO.
Wakati huu Waislam kwa Wakristo tupo kwenye mfungo. Lakini kwa upande wetu waislam huwa tunadesturi ya kuchinja ingawa si Eid el Hajj.
Hivyo, napenda kuwaomba msaada wa kupewa tenda ama koneksheni ya mtu ambae anaweza nipatia au nisaidia kupata tenda ya kununua, kukusanya na kusafirisha mifugo.
Hili suala nitaenda kulifanikisha nikishirikiana na ndugu yangu ambae ni mfugaji wa muda mrefu na ana uzoefu wa kutosha kwenye masuala ya Mifugo ambae anafanyia shughuli zake Morogoro.
Namba: 079 531 536 9