Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti.
Itumie kuleta HAKI.
Watetee wahanga wa D29, wape faraja
Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa!
ITUMIE KUITETEA TANGANYIKA ( ingawa kipengele hiki ni kigumu)
Jiepushe na upofu wa kutoona kuwa hapa HAKI inavunjwa.
Mshauri aliyekuteua UKWELI, UKWELI MTUPU.