Nchi ya rushwa: kila tenda ya barabara ni 10% inatoka!

Nchi ya rushwa: kila tenda ya barabara ni 10% inatoka!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Marafiki zangu ambao wana kampuni za ujenzi wanasema kila kampuni ninlazima zitoe 10% kwenye kila mradi. Lakini pesa ikichelewa kuna riba🤦🏾‍♂️

Umasikini na wetu ni huu uongozi fake unaleta
 
Ni kweli wana % zao inatokana na ukubwa wa mradi
 
Back
Top Bottom