sasa tusipomuamini Rais mwenye mamlaka ya kuteuwa waziri tukuamini wewe ndo utamteua au?Unamwamini Riais!???? Yani bashite anaandaliwa kua waziri tena wa ulinzi au ubunge amini na kwambia huyo ni Msukuma ujue
Ukiwajibika vizuri sio lazima ukimbilie ubunge wa kuchaguliwa ili uwe waziri. Unapewa kwa kigezo cha ubunge wa kuteuliwaUnamzungumzia Makonda huyu huyu aliekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam?
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
You never know with Magu...."Hakuna mtu yotote aliyetumwa na Mimi wala Makamu wa Rais, Wala Waziri Mkuu kugombea Ubunge. Kama ningekutuma si ningekuchagua mimi mwenyewe kwenye nafasi zangu 10", Rais Magufuli.
Usimwamini sana Magu
Huo ndiyo ukweli makonda atakuwa waziri au Naibu spikaUnamwamini Riais!???? Yani bashite anaandaliwa kua waziri tena wa ulinzi au ubunge amini na kwambia huyo ni Msukuma ujue
Hivi unamuamini Magufuli kabisa mkuu!! Subiri uone basiDogo kachemsha, and watu humu wanasema eti anaandaliwa kuwa waziri!!
Yah right. Angekuwa mwingine angekuwa attacked directly .....!!Usimwamini sana Magu
Yah right. Angekuwa mwingine angekuwa attacked directly .....!!
Princess bashite lile tako muda wowote linampa cheo ile ndo CV kubwa ya bashite binti wa mfaume!
Hyu mwamba ukisikia anaongea kitu kisikilize na ukiache hapo hapo,ukikibeba na kukiamin utashangazwa.Dogo kachemsha, and watu humu wanasema eti anaandaliwa kuwa waziri!!