Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Umeshasahau kama mkuu wa mkoa wa Kigoma wa sasa kipindi yupo Fire and rescue naye alitumbuliwa kwa mbwembwe lakini mwisho wa siku akateuliwa tena.Bashite .....[emoji17][emoji17]
Mi naona kabisa koroboi utambi unazama. Magu hanaga mambo ya kiswahili Kwanza Hana Siri akisema hakutaki ,hakutaki kweli, akisema sijakutuma ujue hujatumwa Hana kupapasa papasa mambo.
Kwenye hili makondo hawezi kosa tundikwa dripi za kutosha.
Suala la Makonda ni tofauti mtakuja kushangaa. Atagombea, atapewa ushindi, atapata uteuzi, halafu mtaambiwa "Mimi sikumtuma, wananchi waliomchagua ndio waliomtuma. Eti baba nilikutuma ukagombee? Si ni wananchi walikutuma? Na wamekuamini. Sasa chapa kazi!"Dogo kachemsha, and watu humu wanasema eti anaandaliwa kuwa waziri!!
Dogo kachemsha, and watu humu wanasema eti anaandaliwa kuwa waziri!!
Na Mimi nimiongoni mwa watu hao. Ntakukumbusha mwakani inshaallahDogo kachemsha, and watu humu wanasema eti anaandaliwa kuwa waziri!!
Kuwa assistant tutorial lazima GPA iwe sawa sawa ss sio kila mwenye PHD gpa inaruhusuHuyo jamaa PhD inamaana vyuo vilishindwa kumpa hata Tempo la Assistant Lecturer tuu.Akaishii kuwa mpiga debe wa HQ.Hiyo Shahada itakuwa haina maana au soko ni zile unazipata kimagumashi
Kuwa assistant tutorial lazima GPA iwe sawa sawa ss sio kila mwenye PHD gpa inaruhusu
Usimwamini sana Magu.
Kinyume chake huenda ndio ukweli ii msije kusema aliwaandaa ili aje awape uwaziri.
Hahaha! Nafahamu hilo,,,ni kuanzia GPA ya 3.8 kati ya 5.0 au vyuo vya kati huwa wanataka 3.5 GPA katika level ya Degree ya Kwanza na ya pili uwe na angalau 4.0 out of 5.0
Sasa huyo jamaa humo kote itakuwa holaaa
[/QU
Na pia sio wote wanapenda kufundisha chief. Maana kufundisha na kusahisha assingment sio issue ndogo chiefHahaha! Nafahamu hilo,,,ni kuanzia GPA ya 3.8 kati ya 5.0 au vyuo vya kati huwa wanataka 3.5 GPA katika level ya Degree ya Kwanza na ya pili uwe na angalau 4.0 out of 5.0
Sasa huyo jamaa humo kote itakuwa holaaa
.... ameamkaje siku hiyo!!You never know with Magu....
".... tena mkiniambia ndo mmeharibu kabisa!!"Usimwamini sana Magu.
Kinyume chake huenda ndio ukweli ii msije kusema aliwaandaa ili aje awape uwaziri.
Umesahau sendeka, na yule sultan aliyesema magu alazimishwe kuongeza muda.Nakuunga mkono×1000
Yote hayo ni mipango tu ya mwenye nchi
Kuanzia mnyeti, mwanri na makonda nk.
Mkuu andiko lako hili linaonesha unajua. Kweli Kama unajua ujua tu. Haina mpinzaniBashite .....😔😔
Mi naona kabisa koroboi utambi unazama. Magu hanaga mambo ya kiswahili Kwanza Hana Siri akisema hakutaki ,hakutaki kweli, akisema sijakutuma ujue hujatumwa Hana kupapasa papasa mambo.
Kwenye hili makondo hawezi kosa tundikwa dripi za kutosha.