Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Sifa zote za leo ni unafikiHamjambo!
Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu katika maisha yake na kuwa Spika aliyestaafu ambapo ni hakika alistaafishwa.
Kwa hilo na mengine mazuri ya kizalendo tunamkumbuka.
TaikonMaster
Dsm
Mtibeli umeandika kifupi sana, hariri jina lake.
Sifa zote za leo ni unafiki
Kwanini hawakumuambia akiwa hai
Kuwa spika sio jambo dogo MkuuMarehemu hakosi sifa.Hizo bado ujasikia utaambiwa alikuwa shujaa wa nchi