Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wanawake mnapenda umbeya kuliko chakulakama una jambo unataka kutuambia wewe sema mambo ya kutuchambisha huku bado tunaharisha hatukuelewi
Vijana wa CAG ilikuwa Sumu vile vile,Marehemu Amina Chifupa aliwahi kusema "Kesho nitawataja wauza Madawa ya kulevya wote hata kama atakuwa Mume wangu.."
Kabla kesho haikufika, lilisikika tangazo redioni kuhusu Kifo chake.
Ndiyo sembuse kuharibu maisha ya Mawaziri waandamizi.....🙌
hilo ni jibu uliza swaliIla wanawake mnapenda umbeya kuliko chakula
Una D ngapi kwani Mpaka Sasa hujaokota kitu tuKuna habari gan tena jmn....
kuna uzi kule naona umepigwa pini...
huku tena aaagh, sielewi
Hatari sanaVijana wa CAG ilikuwa Sumu vile vile,
Kila ubaya utalipwa hapa hapa duniani.
Coin Huwa na pande mbili.
Hakiwa? 😳😳😳😳Watatajwa hakiwa kwangu motoni huku kwa mdogo wangu shetani.
Hali ikoje huko SA,au nijandae kumpongeza Nabii LemaNgoja azinduke
Mmh“Kuna mawaziri wanamtukana Rais” alisikika Makonda je walitajwa?
Britanicca
Na ameshawashukia kama taiAwakutajwa hadharani lakini Mke mkubwa wa Mzee Amir keshawajua.