Putin amekuwa na desturi ya kufanya mkutano wa mwisho wa mwaka wa Waandishi wa Habari, hata hivyo mwaka 2022 alishindwa kufanya mkutano huo kwakuwa vita ya Ukraine ilikuwa imemkalia vibaya.
Mwaka huu 2023, amerejesha tena utamaduni huo na ktk mkutano wake ameahidi kuendelea na vita hiyo ili kukamilisha lengo lake la kuuzika kabisa unazi ktk Taifa hilo la Ukraine.
Hatua hiyo imewafanya wachambuzi wa masuala ya vita kusema kuwa inaonyesha Putin ana uhakika kuwa anashinda kwenye vita hiyo:
Mm ni muumini mkubwa wa Biblia na Unabii wake. Niliisha andika uzi hume JF kuwa kufuatia unabii wa Daniel 11: 5-45 Unaozungumzia (King of the South- Alliance of US&UK na King of the North- Russia and his Allies like China and Iran) Russia hawezi kumshinda US/UK and their allies
Hivyo ingawa matukio yanaonyesha Ukraine kuelemewa, mm bado nina confidence kuwa something sudden and unexpected will happen and will change the trijectory of the war. Lets wait and see