Je, kazi ya Massage imelaaniwa? Nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake

Je, kazi ya Massage imelaaniwa? Nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake

Mjomba wangu anamwabia bi mother ati alirogwa wakati akiwa na hela.

Mother alimwabia mganga alie kuroga kiboko manake sio kwa bata alokuwa akila bia,michepuko,marafiki na safari za ajabu zote zile huyo mganga hatariii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shida ukishakuwa na hela akili zinakuruka na husikii ushauri wa mtu
 
Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.

Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
Miaka 10 duh hujatoboa wakati bbody massage mnachaj elf80
 
Naona we unayeifanya ndio utuambie na si wengine VP tuwekeze huko au magumashi?
 
Kwa ninavyozijua massage parlours na yanayotendeka huko, miaka kumi siyo mchezo
 
Mwenye Wellness Massage Parlour namjua fika akiwa Exotic. Sasa anafungua branches and she us doing well. Ana discipline ya pesa. Siyo unapata na wewe unaenda kufuga vibenten. Malengo, nidhamu ni kila kitu
 
Back
Top Bottom