mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shida ukishakuwa na hela akili zinakuruka na husikii ushauri wa mtuMjomba wangu anamwabia bi mother ati alirogwa wakati akiwa na hela.
Mother alimwabia mganga alie kuroga kiboko manake sio kwa bata alokuwa akila bia,michepuko,marafiki na safari za ajabu zote zile huyo mganga hatariii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Hesabu kwa muda wa miaka 10 ametekenya wangapiWewe unatekenya waume za wenzio kutwa unafikiri laana itakuacha?
Miaka 10 duh hujatoboa wakati bbody massage mnachaj elf80Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.
Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana