Je Kenya ilikusudia kuiuzia Afrika chuma chakavu "scraper"?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Mtakumbuka kwamba Kenya ilitumia pesa nyingi sana za wananchi kumpigia kampeni Amina Mohammed ili kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa AU. Kenya ilimsifu sana Amina Muhammed kuwa ni mwenye uwezo mkubwa wa mambo ya kimataifa hivyo angelisaidia sana bara la Afrika kuheshimika na kuwa na sauti duniani.

Kitu cha kushangaza ni kwamba Mara tu baada ya uchaguzi kupita na Kenya (Amina Mohammed) kuangukia pua, Uhuru Kenyatta alimtoa katika wizara ya nchi za nje, ambayo ndiyo inayohitaji mtu mwenye uwezo wa diplomasia ya kimataifa na kumpeleka wizara ya Elimu, kama hilo halitoshi, muda mfupi tu, aliondolewa wizara ya Elimu na kupewa wizara ya michezo ambayo ni wizara ya mwisho katika umuhimu nchini.

Je Kenya ilidanganya Afrika kwa kusema kuwa Amina alikua na uwezo mkubwa wa diplomasia ya kimataifa na kwamba ataisaidia Africa wakati Kenya kama nchi haimuamini kuwakilisha Kenya kimataifa?.

AU

Kenya ilimtumia sana Amina Muhammed hadi pale uwezo wake wa kiuongozi ulipokwesha na Kenya ilitaka kumpeleka akamalizie utumishi wake huko AU kama chuma chakavu?
 
Chuma chakavu ni wewe. Hebu soma biography ya Ambassador Amina Mohammed. Alikuwa Deputy Executive Director wa UNEP, hapo awali; mwenyekiti wa General Council ya WTO(World Trade Organisation). Alikuwa pia mwenyekiti wa IOM(International Organisation for Migration). Mwanamke wa kwanza kuwa waziri wa masuala ya nje nchini Kenya, na sasa ni waziri wa michezo. Wewe hapo hata kuwa mwenyekiti wa nyumba kumi kijijini kwenu hujaweza. Shame.
 
Hivi wewe una akili au matope?, nani amekuambia hana sifa?, jibu hayo maswali hapo.
 
Ni chuma chakavu lakini umechukua muda wako mwingi kufatilia nyadhifa zake tangu mwaka wa 2016 Hadi leo? Punguza machungu mwanaume wachana na wanawake wma wanakutoa jasho bado?
 
Chuma chakavu ni wewe. Hebu soma biography ya Ambassador Amina Mohammed. Alikuwa Deputy Executive Director wa UNEP, hapo awali; mwenyekiti wa General Council ya WTO(World Trade Organisation). Alikuwa pia mwenyekiti wa IOM(International Organisation for Migration). Mwanamke wa kwanza kuwa waziri wa masuala ya nje nchini Kenya, na sasa ni waziri wa michezo. Wewe hapo hata kuwa mwenyekiti wa nyumba kumi kijijini kwenu hujaweza. Shame.
Hahaha.
 
Naam, chuma chakavu kina sifa eeh? Hilo ndio jibu langu basi. Ukijaribu kunipangia ndio utakuwa umeharibu kabisa. Hata kama ni chungu, fumbia macho tu alafu meza kwa nguvu zote.
Sorry kumbe nikisahau kwamba uwezo wa kufikiria ni mdogo sana kule North, huwa ninategemea makubwa from empty heads, nimejifunza.
 
Mtakumbuka kwamba Kenya ilitumia pesa nyingi sana za wananchi kumpigia kampeni Amina Mohammed ili kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa AU. Kenya ilimsifu sana Amina Muhammed kuwa ni mwenye uwezo mkubwa wa mambo ya kimataifa hivyo angelisaidia sana bara la Afrika kuheshimika na kuwa na sauti duniani.

Kitu cha kushangaza ni kwamba Mara tu baada ya uchaguzi kupita na Kenya (Amina Mohammed) kuangukia pua, Uhuru Kenyatta alimtoa katika wizara ya nchi za nje, ambayo ndiyo inayohitaji mtu mwenye uwezo wa diplomasia ya kimataifa na kumpeleka wizara ya Elimu, kama hilo halitoshi, muda mfupi tu, aliondolewa wizara ya Elimu na kupewa wizara ya michezo ambayo ni wizara ya mwisho katika umuhimu nchini.

Je Kenya ilidanganya Afrika kwa kusema kuwa Amina alikua na uwezo mkubwa wa diplomasia ya kimataifa na kwamba ataisaidia Africa wakati Kenya kama nchi haimuamini kuwakilisha Kenya kimataifa?.

AU

Kenya ilimtumia sana Amina Muhammed hadi pale uwezo wake wa kiuongozi ulipokwesha na Kenya ilitaka kumpeleka akamalizie utumishi wake huko AU kama chuma chakavu?
Kifupi. Asingeweza kushinda. Na sadc wako. Mkumbuke amkushirika kindakindaki kukomboa Africa ya kusini. Na kuendekeza kufanya biashara na makaburu. Ndio maana mmetolewa kwenye VIZA za SA
 
Hii ujinga na ushenzi lakini ikome. Hamuingii SA kwa kuikomboa SA. Mnaingia bure kwa sababu nyinyi ni members wa SADC. Hio uwongo yenu ikome kuanzia leo.
 
Back
Top Bottom