eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Hii ujinga na ushenzi lakini ikome. Hamuingii SA kwa kuikomboa SA. Mnaingia bure kwa sababu nyinyi ni members wa SADC. Hio uwongo yenu ikome kuanzia leo.
Ina maana kila mwana SADC anaingia kwa free RSA?