joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mtakumbuka kwamba Kenya ilitumia pesa nyingi sana za wananchi kumpigia kampeni Amina Mohammed ili kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa AU. Kenya ilimsifu sana Amina Muhammed kuwa ni mwenye uwezo mkubwa wa mambo ya kimataifa hivyo angelisaidia sana bara la Afrika kuheshimika na kuwa na sauti duniani.
Kitu cha kushangaza ni kwamba Mara tu baada ya uchaguzi kupita na Kenya (Amina Mohammed) kuangukia pua, Uhuru Kenyatta alimtoa katika wizara ya nchi za nje, ambayo ndiyo inayohitaji mtu mwenye uwezo wa diplomasia ya kimataifa na kumpeleka wizara ya Elimu, kama hilo halitoshi, muda mfupi tu, aliondolewa wizara ya Elimu na kupewa wizara ya michezo ambayo ni wizara ya mwisho katika umuhimu nchini.
Je Kenya ilidanganya Afrika kwa kusema kuwa Amina alikua na uwezo mkubwa wa diplomasia ya kimataifa na kwamba ataisaidia Africa wakati Kenya kama nchi haimuamini kuwakilisha Kenya kimataifa?.
AU
Kenya ilimtumia sana Amina Muhammed hadi pale uwezo wake wa kiuongozi ulipokwesha na Kenya ilitaka kumpeleka akamalizie utumishi wake huko AU kama chuma chakavu?