Je Kenya ilikusudia kuiuzia Afrika chuma chakavu "scraper"?

Hii ujinga na ushenzi lakini ikome. Hamuingii SA kwa kuikomboa SA. Mnaingia bure kwa sababu nyinyi ni members wa SADC. Hio uwongo yenu ikome kuanzia leo.

Ina maana kila mwana SADC anaingia kwa free RSA?
 
Ina maana kila mwana SADC anaingia kwa free RSA?
Mnasifu SA as if ni ile tuliiiijua 1990, ikiwa level moja na kina Brazil,Argentina,Australia
Ya sahii ni ujinga tu,
It's no longer important here.(africa)
 
Mnasifu SA as if ni ile tuliiiijua 1990, ikiwa level moja na kina Brazil,Argentina,Australia
Ya sahii ni ujinga tu,
It's no longer important here.(africa)
Kila siku mnawapigia magoti wawaruhusu mwende bila visa lakini wanawakatalia, kwenu wanakuja bila visa, ila ninyi lazima muwe na visa, huu ni udhalilishaji wa nchi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…