Je! Kesho Mbowe kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za UGAIDI kuhadaa Dunia?

Je! Kesho Mbowe kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za UGAIDI kuhadaa Dunia?

Viongozi wengine waliokamatwa Mwanza wameachiwa bila dhamana yaani polisi imewadhamini yenyewe

Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta yupo kwenye Nyumba ya wasiojulikana ili kesho afikishwe mahakamani kwa tuhuma za ugaidi

Mama SASHA kachafuliwa saana na vyombo vya Maghalibi kaonekana kuminya haki na uhuru wa kujieleza, sasa kesho MBOWE ambaye ni kiongozi pekee aliyebaki atafikishwa mahakamani kwa tuuma za UGAIDI ili kuonyesha dunia kuwa Mbowe ni gaidi

Je bado mama anaupiga mwingi?

Yetu macho, SASHA Sijui unafail wapi
amefikishwa mahakamani........................... huyu watamuua nawambieni ukweli ndugu zangu.
 
amefikishwa mahakamani........................... huyu watamuua nawambieni ukweli ndugu zangu.
Hakuna atakeyeishi milele hapa Duniani!

Wote tutakufa siku zetu zikifika ila kuna wengine wanakufa mapema kabla ya siku zao kutokana na matendo yao ovu waliyoyafanya.
 
Mbona nyie Makenge ya kijani Mnamwabudu na kumtukuza Mwendawazimu aliekufa na kuoza,kunuka nakufikiwa kama zoga, na aliewambukiza UKICHAA wake , hatusemi,

Mda mwingine utumie kujisuuza shombo na upunzike bibie.
Kumbe ndo unakelele hv ikiingia( concept/ meseji)😂😂
 
Back
Top Bottom