Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Najaribu kutengeneza picha ya kihindi tu mimi ndiye director wa film, nitaongea na vijana wangu toka ndani ya idara yangu ambao siyo maarufu na kuwaambia tutengeneze filamu nzuri sana, na nyie mtakamatwa na kuwa wauaji
Mtasota rumande kesi itasikilizwa harakahaka, karibu na uchaguzi mkuu mwakani mtahachiwa huru,mishahara, malulupu mengine mtalipwa kama kawaida, mtalala sehemu nzuri, wala msiogope sawa.
Hii ni filamu tu ambayo mtu anaweza tengeneza, kama mtu anaweza kukutengenezea kesi je atashindwa kutengeneza kesi bandia?
Je kesi ngapi bandia zipo mahakamani ni bandia?