Je, kesi za ugaidi ziawafanya Watanzania kupinga uovu?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Ugaidi ni tuhuma kali sana na ndio maana ni kosa ambalo linapingwa na kudhibitiwa kimataifa.

Gaidi wa Tanzania ni gaidi wa dunia nzima.

Kama ndio hivi, je Watanzania wanavyokamatwa kwa ugaidi. Watakata moyo mapambano dhidi ya uovu?
 
Imeongeza ari sana.
 
Back
Top Bottom