Je, kibegi cha Simba kimeleta mafanikio yapi kwa team?

Je, kibegi cha Simba kimeleta mafanikio yapi kwa team?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kuna mambo mengi Makolo yaliya buni badala ya kusajili quality players wenyewe walitaka ku master mambo ya nje ya uwanja ...

Mfano suala la kibegi Cha Simba walikipandisha Hadi mount Kilimanjaro na mbwembwe nyingi sana [emoji23][emoji23].....Je mafanikio yake ni yapi

Kwa Yanga walileta suala la soup day ambapo hii ilisaidia kuleta muunganiko Kwa wachezaji na mashabiki.... compact ambayo tunaiona Yanga ya saizi inawasha moto

Nb: Je, kibegi Cha Simba kimeleta mafanikio yapi?

1713021361091.jpg
 
Ilikuwa kuongeza hamasa kwenye uuzaji wa jezi,usijitoe ufahamu
 
Kibegi kimeisaidia timu yetu kufungwa goli 5-1 na mtani wetu Yanga kwenye mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi. Na tunaamini Jumamosi ya tarehe 20 mwezi huu wa nne, kitatusaidia kufungwa tena.
 
Kibegi kimeisaidia timu yetu kufungwa goli 5-1 na mtani wetu Yanga kwenye mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi. Na tunaamini Jumamosi ya tarehe 20 mwezi huu wa nne, kitatusaidia kufungwa tena.
Na watakula zingine
 
Back
Top Bottom