zamuhalelu
Senior Member
- Oct 5, 2017
- 140
- 138
- Thread starter
-
- #61
kweli mkuu na ndiyo maana hatukuzaliwa pamoja bali tumepishana miaka na miezi...Kitakachokusaidia ukikopa ni muda wa kuanza biashara mfano mi nimechukua mkopo na wewe unawekeza kwenye kibubu, mimi nikienda benki napewa say 10 milioni leo naanza biashara halafu nakatwa kila mwezi say kwa miaka miwili halafu wewe unaweka kwenye kibubu fedha hadi ifike milioni 10 labda itakuchukua mwaka mmoja na nusu. Kwa muda huo mimi nitakuwa nimeshapata uzoefu mkubwa sana wa biashara na kuzijua changamoto zake na pia nitakuwa nimeshaanza kuonja faida na kujua nini cha kufanya na kulisoma soko. Muda ni muhimu sana katika maisha ya uwekezaji
kukopa benki mie naona narudi nyuma tu
NB.kumbuka muda sio tatizo kinachocost nikifo pia hayo ni mipango ya mungu