Je kibubu kitanisaidia?

Je kibubu kitanisaidia?

Kitakachokusaidia ukikopa ni muda wa kuanza biashara mfano mi nimechukua mkopo na wewe unawekeza kwenye kibubu, mimi nikienda benki napewa say 10 milioni leo naanza biashara halafu nakatwa kila mwezi say kwa miaka miwili halafu wewe unaweka kwenye kibubu fedha hadi ifike milioni 10 labda itakuchukua mwaka mmoja na nusu. Kwa muda huo mimi nitakuwa nimeshapata uzoefu mkubwa sana wa biashara na kuzijua changamoto zake na pia nitakuwa nimeshaanza kuonja faida na kujua nini cha kufanya na kulisoma soko. Muda ni muhimu sana katika maisha ya uwekezaji
kweli mkuu na ndiyo maana hatukuzaliwa pamoja bali tumepishana miaka na miezi...

kukopa benki mie naona narudi nyuma tu

NB.kumbuka muda sio tatizo kinachocost nikifo pia hayo ni mipango ya mungu
 
kiongozi hyo hata mie nimeicheki naona taswira yake iko poa ila sikuelewa vzuri labda kutokana uchache wa kutambua mambo ya kimuamala...

aje atupe maelezo zaidiiii
Ahaa iko hivi.. ukiiangalia hiyo kitu ni kuanzia January hadi December. Na hapo kaamua siku ya kwanza iwe ijumaa ya kwanza kwenye mwezi wa kwanza. Na kila ijumaa ikifika unaweka buku tatu kwenye kibubu. so unaona hiyo column ya pili ina 1,8,15,22 na 29. means mwezi wa kwanza ulikuwa na ijumaa 5. Na ukiweka 3,000 ijumaa ya kwanza, ijumaa ya pili unaongeza 3,000 inakuwa 6000, ya tatu unaongeza buku tatu pale kwenye 6000 inakuwa 9000 na kuendelea.Na ukifuatia hizo week ( kuna title kaandika week number pale juu) utaona kwa mwaka mzima kuna week 52, na hiyo itakuwa ijumaa ya tarehe 24 december hii.. kwa hiyo unaona alipomaliza ijumaa ya mwisho ya mwezi January ilikuwa unaweka sh.15,000. ukiingia mwezi wa pili unachukua ile 15,000 unaongeza 3000 inakuwa ijumaa ya kwanza ya mwezi wa pili unaweka 18,000 so mtiririko ndo huo hadi mwisho..
Ndo nikasema huku mwazo ilikuwa rahisi nafloo na biti kwenye jedwali vizuri..ilipofika mwezi wa saba ha ha ha... ila naendelea, nataka hadi december nifanikishe lengo....
Nadhani umeelewa maelezo sasa, kama kuna la kuuliza karibu
 
ahsante sasa hyo mkuu unaweka wapi ni benki auuu wapiii
 
unaweka benki au wapi mkuuu?
 
unaweka benki au wapi mkuuu?
ha ha ha..hii ni ya kibubu mkuu.. tena kimechomewa na kufungwa kabisa na fundi wa welding na nikija kutoa hela mwisho wa mwaka inabidi kikachanwe kwa mashine kwa sababu ni cha bati ngumu zile zinazotengenezea mageti.. kachana tuu kidogo kwa juu sehemu ya kuingizia hela.. hakuna cha funguo wala nini.. benki nikiweka si natoa tuu...
 
duuh mkuu uko vizuri nimeipenda hyoooo...

naomba namba zako mkuu ili tuchange ideas na mie unifundishe zaidi mkuu
 
Ahaa iko hivi.. ukiiangalia hiyo kitu ni kuanzia January hadi December. Na hapo kaamua siku ya kwanza iwe ijumaa ya kwanza kwenye mwezi wa kwanza. Na kila ijumaa ikifika unaweka buku tatu kwenye kibubu. so unaona hiyo column ya pili ina 1,8,15,22 na 29. means mwezi wa kwanza ulikuwa na ijumaa 5. Na ukiweka 3,000 ijumaa ya kwanza, ijumaa ya pili unaongeza 3,000 inakuwa 6000, ya tatu unaongeza buku tatu pale kwenye 6000 inakuwa 9000 na kuendelea.Na ukifuatia hizo week ( kuna title kaandika week number pale juu) utaona kwa mwaka mzima kuna week 52, na hiyo itakuwa ijumaa ya tarehe 24 december hii.. kwa hiyo unaona alipomaliza ijumaa ya mwisho ya mwezi January ilikuwa unaweka sh.15,000. ukiingia mwezi wa pili unachukua ile 15,000 unaongeza 3000 inakuwa ijumaa ya kwanza ya mwezi wa pili unaweka 18,000 so mtiririko ndo huo hadi mwisho..
Ndo nikasema huku mwazo ilikuwa rahisi nafloo na biti kwenye jedwali vizuri..ilipofika mwezi wa saba ha ha ha... ila naendelea, nataka hadi december nifanikishe lengo....
Nadhani umeelewa maelezo sasa, kama kuna la kuuliza karibu
Mmmmmmh!
 
amna tabu kiongozi vipi unaionaje kwa muono wako iko poa au waiona vipi?
Mimi nina saving account na nimekubaliana na bank kila mshahara ukiingia kuna direct debit unakwenda huko pia kila nikitumia Malipo ya kadi bank wanakata kwa alfu ya karibu yaani kama nimelipia vitu vya 4,600 ninakatwa 5,000 na 400 unakwenda kwenye saving account.
 
Mimi nimejaribu hii hapa chini toka mwezi wa mwanza..ila sasa vyuma vimekaza nilipofika mwezi wa saba nikaanza kupumulia mashine, kwa hiyo nina deni la mwezi wa nane na wa tisa..du.. ila i hope nitafanikiwa lazma nikamilishe kila mwezi na december ikifika niwe na hiyo amount.. nimetengeneza kibubu cha chuma kabisa ambacho siwez kukifungua hadi kupeleka kwa fundi welding. Ukiangalia hapo kila wiki inaongezeka 3000..
View attachment 603224
Emu nielekeze
 
ntumie yako ya watsap nkuoneshe sehemu tu ya maisha yangu, najivunia possitive ideas zangu, siwez kuzmwaga hapa, NB: muulize mhusika baada ya ku n pm nn tumeshauriana, usiwe kama ulizaliwa njit wewe ## pambana na hali yakoo
Mambo vipi Na Mimi naomba ushauri kila mwezi na save laki 1 naweka kwenye akiba account CRDB Wana makato makubwa naomba unipe na Mimi maujanja.
 
ndyo mana nna mashaka na benkiii hizi...

hivi benki wanakukata.. kwani unahaja ya kukatwa pesa pesa unayotaka kutunza?
 
Back
Top Bottom