Je kibubu kitanisaidia?

Je kibubu kitanisaidia?

Yaani wewe unaweza bakisha laki mbili? Unabahat sana. Wenzio izo laki mbili ndo mshahara
 
kiongozi nashkuru kwa mawazo yako na ufafanuzi hapo juu...

unajua hata ukiweka benki kisha ukawa na tamaa basi utazitoa tu hata kama kadi uliacha mbagala basi utaifuata mbona...

ila hichi kibubu yataka kusahau hasa...
pia mtu ukifuzu kuweka kwenye kibubu basi ni mafunzo tosha ya kuicontrol nafsi yako mana nafsi itataka uchomoe kumi kumi tu
Umeongea kama proffesor mmoja ukiweza kucontral pesa bas unajiweza, saf sana mkuu
 
Watu wa aina yako saivi mnaishi maisha ya tabu sana. Mtu anataka msaada wa wazi ww unajaribu kuburutia inbox, utangoja sana
ntumie yako ya watsap nkuoneshe sehemu tu ya maisha yangu, najivunia possitive ideas zangu, siwez kuzmwaga hapa, NB: muulize mhusika baada ya ku n pm nn tumeshauriana, usiwe kama ulizaliwa njit wewe ## pambana na hali yakoo
 
Umeongea kama proffesor mmoja ukiweza kucontral pesa bas unajiweza, saf sana mkuu
poa mkuu kumbe kuweka pesa kwenye kibubu sio tu faida ni kuweka akiba bali faida ingine ni kuweza kuithibiti nafsi yako kisawasawa kutokana na vishawishi

ebu vuta picha mfukoni huna pesa kisha ukishika kibubu ni kizito kwa minoti..

hapo nafsi itakuambia chukua waya kisha chomoa wekundu wawili

tehehehe.
au vipi kiongozi?
 
wakati huo faida ya pili ya kuweka pesa benki inakupa hasara ya kutojua kuicontrol nafsi yako kunako matamanio ya nafsi......
 
poa mkuu kumbe kuweka pesa kwenye kibubu sio tu faida ni kuweka akiba bali faida ingine ni kuweza kuithibiti nafsi yako kisawasawa kutokana na vishawishi

ebu vuta picha mfukoni huna pesa kisha ukishika kibubu ni kizito kwa minoti..

hapo nafsi itakuambia chukua waya kisha chomoa wekundu wawili

tehehehe.
au vipi kiongozi?
Ivo yan
 
Achana na kibubu kafungue hata saving account benki. Pia hizo hela unataka kufanyia nn kama huwezi kutunza bora ununue kwa kudunduliza mwisho wa siku utapata kitu kamili
 
mkuu hizi ni kudunduliza kisha nipate mtaji wa kutimiza kile nilichoplani.....

ni biashara tyu ili tukimbie kuajiriwa ajiriwa
 
Kama ni biashara mbona ndio mule mule kwanza angalia unataka kufanya nn kisha anza kununua vitu vidogo vidogo kila mwezi mfano kama unafungua duka anza kutafuta fridge, freezer n.k ili uanze hiyo safari ya biashara ukifika katikati utajikuta unataka kumaliza otherwise chukua mkopo ambao utakatwa hizo laki 2 kila mwezi kuliko ku-save
 
mkopo tafsiri yake unawapa benki pesa yako tena unawapa bure...

labda umekopa milioni tatu kisha wanataka urejeshe milioni nne..

tafsiri ni kwamba umewapa milioni moja bureeeeeee bila wao kuhangaika sasa hii ni faida au hasara??

si bora nidundulize kiongozi

hii ya kununua vitu kdogo kidogo imekaa poa mnoooo nakukubali
 
Mimi nimejaribu hii hapa chini toka mwezi wa mwanza..ila sasa vyuma vimekaza nilipofika mwezi wa saba nikaanza kupumulia mashine, kwa hiyo nina deni la mwezi wa nane na wa tisa..du.. ila i hope nitafanikiwa lazma nikamilishe kila mwezi na december ikifika niwe na hiyo amount.. nimetengeneza kibubu cha chuma kabisa ambacho siwez kukifungua hadi kupeleka kwa fundi welding. Ukiangalia hapo kila wiki inaongezeka 3000..
View attachment 603224
Mkuu naomba maelezo ya hii kitu.Inaonekana ni nzuri.
 
kiongozi hyo hata mie nimeicheki naona taswira yake iko poa ila sikuelewa vzuri labda kutokana uchache wa kutambua mambo ya kimuamala...

aje atupe maelezo zaidiiii
 
mkopo tafsiri yake unawapa benki pesa yako tena unawapa bure...

labda umekopa milioni tatu kisha wanataka urejeshe milioni nne..

tafsiri ni kwamba umewapa milioni moja bureeeeeee bila wao kuhangaika sasa hii ni faida au hasara??

si bora nidundulize kiongozi

hii ya kununua vitu kdogo kidogo imekaa poa mnoooo nakukubali
 
mkopo tafsiri yake unawapa benki pesa yako tena unawapa bure...

labda umekopa milioni tatu kisha wanataka urejeshe milioni nne..

tafsiri ni kwamba umewapa milioni moja bureeeeeee bila wao kuhangaika sasa hii ni faida au hasara??

si bora nidundulize kiongozi

hii ya kununua vitu kdogo kidogo imekaa poa mnoooo nakukubali
Kitakachokusaidia ukikopa ni muda wa kuanza biashara mfano mi nimechukua mkopo na wewe unawekeza kwenye kibubu, mimi nikienda benki napewa say 10 milioni leo naanza biashara halafu nakatwa kila mwezi say kwa miaka miwili halafu wewe unaweka kwenye kibubu fedha hadi ifike milioni 10 labda itakuchukua mwaka mmoja na nusu. Kwa muda huo mimi nitakuwa nimeshapata uzoefu mkubwa sana wa biashara na kuzijua changamoto zake na pia nitakuwa nimeshaanza kuonja faida na kujua nini cha kufanya na kulisoma soko. Muda ni muhimu sana katika maisha ya uwekezaji
 
Back
Top Bottom