kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ni uendawazimu kuweka akiba kwa kujinyima pesa ya kibongo kama huna ziada.Baada ya muda pesa iliyokuwa na uwezo wa kununua bundle la bati inashuka thamani kiasi kwamba unanunua realm ya karatasi tu!Nawapongeza wale wazee wa zamani walionunua mifugo kama ng'ombe na kuwafanya bank yao.Walikuwa na akili sana.Bora uweke USD ama dhahabuKaifungulie fixed account ama bonus account.
kibubu kinaweza kububuliwa na watu wako wa karibu.