Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe.
Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho wa tetesi. Hata hivyo tetesi hazikukoma.
Iko hivi, Rais Kennedy na mdogo wake aliyekuwa mwanasheria Mkuu wa serikali ya Marekani, walikuwa na uhusiano na Mrembo huyu bila kujuana. Mrembo alikorofishana baadae na ndugu wote wawili wenye nguvu serikalini.
Maadaui wa kisiasa wa serikali walipata kuhitilafiana huko na kupanga kumtumia Marylin Monroe kumuondoa Rais JF Kennedy ofisini kwa tuhuma za ufuska. Kule USA ni tuhuma mbaya Sana.
Kennedy na Mdogowe wakaamua kufanya yao. Marylin Monroe kakutwa kafa chumbani mwake akiwa Uchi wa mnyama na chupa kubwa ya pombe ipo chumbani na pombe nyingine kwenye glasi. Pia madawa ya binadamu na chupa ya maji ilikutwa chumbani humo. Walimtumia pia daktari wa mchongo na kufanya postmortem na kutoa habari kuwa alizidiwa na pombe huku akitumia pia dozi za dawa nyingi kupita kiasi. Ikaisha hivyo
Je sakata la kifo cha Mwanafunzi wa UDOM Nusura Hassan Abdalah chaweza kufanana na hiki? Nacho uchunguzi utafanywa na mazingira ya kifo kuaminiwa?
Soma: Marylin Monroe kwenye Google.