Je Kigaila ni pandikizi la Usalama wa taifa?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Je Kigaila ni pandikizi la Usalama wa taifa? Taifa linapata faida gani kwa kuweka watu kwenye vyama vya siasa zaidi ya kunufaisha mafisadi? waziri Mkumbo tumesha hakiki ni usalama je huyu ni mwenzake?

Je huyu jamaa ni usalama au ni mchumia tumbo. Kuna habari za ndani zinasema analipwa na usalama
 
Labda awe chawa wa usalama.

Huyo enzi za jiwe alipewa hekaheka kidogo afe kwa sababu aliwekwa ndani huku akiwa mgonjwa wa kisukari na matibabu + lishe ikaongeza ugonjwa. Afya ilidhorota sana.

Angekuwa usalama asingehatarishiwa maisha yake kiasi kile.
 
Back
Top Bottom