Hata mwenyekiti mwanaharakati wa mazingiraungeulizia na Mnyika na Heche
Labda awe chawa wa usalama.Je Kigaila ni pandikizi la Usalama wa taifa? Taifa linapata faida gani kwa kuweka watu kwenye vyama vya siasa zaidi ya kunufaisha mafisadi? waziri Mkumbo tumesha hakiki ni usalama je huyu ni mwenzake?
Je huyu jamaa ni usalama au ni mchumia tumbo. Kuna habari za ndani zinasema analipwa na usalama