johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
🤔 hii inatia shaka ! Ngoja waje wajuvi wa mambo !Kwa defination kifupi, waziri mkuu ni Rais wa Tanganyika
Ulipoandika 'defination' ndipo ulipochanganya mamboKwa defination kifupi, waziri mkuu ni Rais wa Tanganyika
Hahahaaaa........!
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano (ambaye kwa sasa ni Mh. Sana Majaliwa Kassim Majaliwa) ni mkubwa zaidi ya hapo...wajuvi wa mambo wanajuaNauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki.
Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif.
Karibu kwa majawabu.
cc Pascal Mayalla, FayzaFox

Unauliza majibu?Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki.
Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif.
Karibu kwa majawabu.
cc Pascal Mayalla, FayzaFox
Ndio bwashee!Unauliza majibu?
Ina maana wewe hadi leo haujui kuwa Zanzibar ni nchi huru?Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki.
Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif.
Karibu kwa majawabu.
cc Pascal Mayalla, FayzaFox
Nchi au taifa?Ina maana wewe hadi leo haujui kuwa Zanzibar ni nchi huru?
Ni nchi kabisa yenye mamlaka kamiliNchi au taifa?
Na jeshi na fedha yake?Ni nchi kabisa yenye mamlaka kamili
Puerto Rico wana jeshi na fedha yake?Na jeshi na fedha yake?