Sprouts pre School
Member
- Jul 15, 2026
- 64
- 187
Ukienda pale kijijini kwetu, inakubidi uwe umechenji hela zako ziwe buku buku au buku mbili, Aise Wamezidi Kuomba, yaani usikutane na mtu anayekujua utasikia tu "We Kijana Wa Mama Flani ninunulie basi sukari" hujakaa sawa Huyu nae anataka Buku, Mara buku mbili. Kwa sisi watu Wa Vyombo Hadi inabidi sasa Tuanze kwenda Kupiga Vyombo Maeneo ya Mbali na pale mtaani maana UKIENDA kwenye Masinagogi ya pale mtaani sinagogi Zima linataka uwanunulie.
Wakuu waambieni Watu kuwa wengine wanatoka mjini Kwa hela za mikopo waje kusalimia chap na kugeuka, Sio kila anaekaa mjini Anahela, mnafanya watu Washindwe Kuja Nyumbani, au waje Kwa Siri Tena usiku ili msiwaone mitaani.
Kwanza haka kautaratibu ka kuwapa watu hizi hela ndogo ndogo Hawa ndio wanaenda kutoroga na kutufungia Milango ya Nuru na riziki.