Je kijijini kwenu kuna hawa watu wanaomba kama vijiji vya kwetu?

Ukienda kijijini huku umevaa nguo zinazoonekana ni za gharama ni lazima uombwe pesa, hii ni mindset ya watu wengi sana wa vijijini, huwa wanahisi mtu anazo, wewe nenda kawaida sana, vaa nguo za kawaida sana, hakuna mtu atakayekuomba hata mia. Act poor to save your money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…