Je, kikosi hiki cha Argentina kinaweza kutwaa Copa America 2019?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kama ilivyo ada, kikosi kina majina makubwa sana, lakini baadhi yao wamekosekana kama vile Mauro Ircadi.

Je kwa kikosi hiki, Messi anayo nafasi ya kushinda taji lake la kwanza akiwa na timu ya taifa ya Argentina?

Michuano ya Copa America mwaka huu yanafanyika nchini Brazil.
 
Kwa Copa America sioni kama kuna timu italeta changamoto sana ikiwa safu ya ushambuliaji ikikamia japo zipo mfano Peru n.k .

Argentina ya kipindi hiki inapata tabu sana kama ikikutana na mataifa nje ya america ( South & North)
 
Nope mkuu, rejea copa america ya mwaka 2015 na 2016
 
Marcos Rojo yuko wapi na ni mzima kabsa!! Mbn anafanyiwa figisu mchezaji wetu! Romero naye, hajambo kabsa ila wametufanyia figisu wachezaji wetu!! Haina shida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…