The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Ni kwanini hua aina black-football player?Toka nilipopata taarifa kwa nini Argentina haina mchezaji mweusi niliachana nayo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwanini hua aina black-football player?Toka nilipopata taarifa kwa nini Argentina haina mchezaji mweusi niliachana nayo kabisa.
Wanattz ganiToka nilipopata taarifa kwa nini Argentina haina mchezaji mweusi niliachana nayo kabisa.
Ni kwanini hua aina black-football player?
Wanattz gani
Laana lazma iwatafuneKuna miaka waliamua kusafisha nchi kwa kuwaondoa blacks wote.
Walichukuliwa wakawekwa kijiji kimoja, na kukawa hakuna huduma za kijamii, wengi wakafariki na magonjwa mbali mbali.
Kuna waliopelekwa vitani na kuwekwa mstari wa mbele.
Kuna waliofungwa na kuuawa huko huko magerezani.
Na inasemekana pia wengine ilifanyika genocide kuhakikisha wote wanakufa.
Recently, inasemekana nchi imebaki na blacks chini ya 1%.
Kuna link hapo chini, ingawa ni kama imeingeza chumvi lakini ukifatilia zaidi unapata ukweli.
Laana lazma iwatafune
Acheni kupoteza muda team hii ikikutana na Brazil , Colombia na Uruguay itapigwa na kuchakaa
Uko sahihihawa ni hopeless kabisa hawadhaminiki
Hahaha 2-0Uko sahihi mkuu
Colombia anawajulia sana Argentina
Acheni kupoteza muda team hii ikikutana na Brazil , Colombia na Uruguay itapigwa na kuchakaa
Shehe Yahya.Acheni kupoteza muda team hii ikikutana na Brazil , Colombia na Uruguay itapigwa na kuchakaa
Mkuu hongera,tumeyaona usiku wa kuamkia leo Argentina kafa 2 bila na Colombia.Acheni kupoteza muda team hii ikikutana na Brazil , Colombia na Uruguay itapigwa na kuchakaa
Icardi sijui aliwakosea niniMessi ndio baba wa Argentina asipowepo messi hyo Argentina haitafika popote bcuz ht copa America iliopita magoli ya messi ndio yaliifikisha Argentina final.
Balaa jingine ni Uruguay hao ndio kisanga wanashinda kwa clean sheet kuwafunga lazima uwe na mbape uwakimbize kweliUko sahihi mkuu
Colombia anawajulia sana Argentina
Uruguay kampiga Ecuador 4 bilaBalaa jingine ni Uruguay hao ndio kisanga wanashinda kwa clean sheet kuwafunga lazima uwe na mbape uwakimbize kweli
Wewe unamfahamu mchezaji gani mweusi mu argentina hajaitwaNi kwanini hua aina black-football player?