Je, kikosi hiki cha Argentina kinaweza kutwaa Copa America 2019?

Ivi mchezaji ukaitwa na taifa lakini ukaamua kugoma kwani haiwezekani
Dybala naona awagomee tu, maana anaitwa alafu anachezea bench kama mata pale OT huu ni aina nyingine ya ufala

Za chini chini nasikia dogo kagoma kusujudu kwa messi
 
Ni kwanini hua aina black-football player?

Wanattz gani

Kuna miaka waliamua kusafisha nchi kwa kuwaondoa blacks wote.

Walichukuliwa wakawekwa kijiji kimoja, na kukawa hakuna huduma za kijamii, wengi wakafariki na magonjwa mbali mbali.

Kuna waliopelekwa vitani na kuwekwa mstari wa mbele.

Kuna waliofungwa na kuuawa huko huko magerezani.

Na inasemekana pia wengine ilifanyika genocide kuhakikisha wote wanakufa.

Recently, inasemekana nchi imebaki na blacks chini ya 1%.

Kuna link hapo chini, ingawa ni kama imeingeza chumvi lakini ukifatilia zaidi unapata ukweli.

 
Laana lazma iwatafune
 
Sioni ni kwa namna gani wataweza kuchukua ubingwa mbele ya Selecao, Uruguay au hata Chile.

Haya yatakuwa mashindano ya mwisho, kwa king Leonel Messi.
 
Messi ndio baba wa Argentina asipowepo messi hyo Argentina haitafika popote bcuz ht copa America iliopita magoli ya messi ndio yaliifikisha Argentina final.
Icardi sijui aliwakosea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…