pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Qatar inacheza copa america?Qatar amekaza kwa Paraguay wametoka Moja Moja, Argentina ndio anashika mkia kwenye kundi hili.
Timu mualikwaQatar inacheza copa america?
Hasta la vista Argentina.Ever Banega ameachwa? What a mistake! Labda pengine ni majeruhi.
Hao akina Dybala kila siku wanaitwa lakini hawajawahi kuwa na namba ya kudumu.
Cha Brazil tayari ilikuwa bado Uruguay tu.Hapa bado kichapo cha Brazil na Uruguay
Kabeba kombe mshindi wa tatuMwisho wa Argentina umekuwaje wadau??