Je! Kilevi kinatuweka HURU kusema hisia zetu? Ziwe Chanya au Hasi?

Sikujua Duniani bado kuna wenye mapendo/mapenzi ya kweli. ....
Nitaendeleza Sparkling H20 ...tu
[emoji4][emoji4][emoji4]
Yeah bora ufanye hivyo. Tuachie sisi ambao tayari tulishajikuta kwenye unywaji tuendelee ila hatutaki newcomers.
 
Hahahahhaa umenikumbisha mseminari mmoja hivi, siku akishikika akajidunga wine lazima anipigie, utasikia Kasie my heartbeat, “En Vinno Veritas En Aqua Sanitas”.

Sijui nimepatia inavyoandikwa...

K’ Matata.


😂😂😂...na ukawa unarespond nn madame😊
 
Hahahahhaa umenikumbisha mseminari mmoja hivi, siku akishikika akajidunga wine lazima anipigie, utasikia Kasie my heartbeat, “En Vinno Veritas En Aqua Sanitas”.

Sijui nimepatia inavyoandikwa...

K’ Matata.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]my honeybash....nimecheka saana.

Msalimie huyo mseminari.
 
Kilevi kinaongeza uromantic. Sijui hawa wapika pombe walikiwekea nini aseeh.

Ulishajaribu????
 
😂😂😂...na ukawa unarespond nn madame😊


Ukishaitwa heartbeat basi moyo unaenda mbiombio tabasamu kuubwa heheheheeh

Mseminari hakuwa na mambo mengi yeye ni wine tuu 😅😅
 
Hahahhahahaaa Daby......

Honeybash loooh mahaba haya hehehehehe.

Salamu nimezifikisha.
Huyo dadii yako anatumia wine gani/chubuku ipi maana toka nimeacha kumeza hayo mambo nalalamikiwa...simfurahishi mama yoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…