Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Itabidi nami niunge juhudi za afande Kvant mkono...leo msiniache.Mara ya mwisho nilitoa siri nachepuka na Sakayo. Akawa mkali... nikalewa tena nikamkonvisi akubali Sakayo awe mchepuko wangu. Akakubali.
Moral: Don't underestimate convinsing power of my dear K Vant