Je! Kilevi kinatuweka HURU kusema hisia zetu? Ziwe Chanya au Hasi?

Mara ya mwisho nilitoa siri nachepuka na Sakayo. Akawa mkali... nikalewa tena nikamkonvisi akubali Sakayo awe mchepuko wangu. Akakubali.

Moral: Don't underestimate convinsing power of my dear K Vant
Itabidi nami niunge juhudi za afande Kvant mkono...leo msiniache.
 
Huyo dadii yako anatumia wine gani/chubuku ipi maana toka nimeacha kumeza hayo mambo nalalamikiwa...simfurahishi mama yoyo.

Hahahahaa yeye anatumia beer mradi tuu iwe kwenye chupa ya kijani. ..

Wine sijawahi muona akiinywa.
 
Kuna kaukweli, ila huwa hawatoi zile siri nzitooo, hapo ndipo huwa sielewi.

Be you.
 
Mambo ya walawi 10:
9 Usinywe divai wala kileo cho chote, wewe, wala wanao pamoja nawe, hapo mwingiapo ndani ya hema ya kukutania, ili kwamba msife; amri hii itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyenu;
 
Mpe maskini kileo, anywe asahau shida zake... (nimesahau kifungu na mstari, Mungu nisamehe)

Nitatumia kaneno haka mpaka nitakapotokomeza umaskini.

Bia itakapozidi kuwa tamu ntapendelea kuwa maskini ili hako ka mstari kanipeleke mbinguni
 
Hapo utaendelea kupotea maisha yako yote ya ulevi...

Mithali 31:
4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?

5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.

6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
 
Hiyo hapo... kifungu cha 7 ndio njia yangu ya kwenda mbinguni.... hureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…