Usijidanganye, hakuna mbingu iliyotajwa hapo.Hiyo hapo... kifungu cha 7 ndio njia yangu ya kwenda mbinguni.... hureee
[emoji120][emoji120][emoji120]Mambo ya walawi 10:
9 Usinywe divai wala kileo cho chote, wewe, wala wanao pamoja nawe, hapo mwingiapo ndani ya hema ya kukutania, ili kwamba msife; amri hii itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyenu;
Huyo mzee hana madhara...cha zaidi atakufundisha kula kilaji tu.