Je Kilichomponza Super Black ni ile kauli yake ya kuwa Wasomi waende VETA ?

Je Kilichomponza Super Black ni ile kauli yake ya kuwa Wasomi waende VETA ?

Asingesema vile mlitaka aseme waende wapi?
 
Anamiliki mgodi wa NAMUNGO alimpoka muhindi.
Ule ni mgodi wa gold
 
Maza hataki mtu maarufu kuliko yeye anataka kuwa Alfa na Omega wa nchi akishirikiana na Msoga Mzoga.
 
Back
Top Bottom