Wana janvi kinacho endelea Dodoma kuusiana na bunge la katiba, kinaanza kutia shaka na sintofahamu, ndani ya vichwa vya baadhi ya watanzania mimi nikiwemo, kuna kila dalili kanakwamba serikali haikuwa imejipanga. Mfano muda unaoendelelea kupotea pasipo bunge kufanya kazi pamoja na sababu lukuki zinazotajwa sasa inaanza kuonekana kana kwamba kuna jambo linapikwa tena kwa ustadi wa hali ya juu.
Huu ni wasiwasi tu kama kuna wa kutuondoa shaka atuweke wazi.
Huu ni wasiwasi tu kama kuna wa kutuondoa shaka atuweke wazi.