Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Nabii wa maendeleo? Yapi hayo yanayozidi ya wenzetu katika ukanda huu? Flyover? SGR? Stieglers? Ama nini?Marais wote wanakuja kwa mialiko ya kiserikali na wanamuona jpm kama nabii wa maendeleo kwa ukanda huu
Over my dead body.Wabongo wengi akili zenu ni pungufu...kuna siku huyu JPM mtamkumbuka na kurudi kusema afadhari JPM,kama sasa hivi mitaani waliomuita JK ni fisadi hafai..watu wale wale nowdays wanasema eti JK alikua bora sana na wanamkumbuka,so akili zao finyu ni kama za kwako
Kitulize kesho uone pale bandariniNabii wa maendeleo? Yapi hayo yanayozidi ya wenzetu katika ukanda huu? Flyover? SGR? Stieglers? Ama nini?
Hayo hayoNabii wa maendeleo? Yapi hayo yanayozidi ya wenzetu katika ukanda huu? Flyover? SGR? Stieglers? Ama nini?
Povu la nini? Kachagueni mimoendaye. Hamjashikiwa gobole kuwa usipomchagua unavyatuliwa kichwani..Nabii wa maendeleo? Yapi hayo yanayozidi ya wenzetu katika ukanda huu? Flyover? SGR? Stieglers? Ama nini?
Walikuwa wakimdanganya. Sasa ukweli ameujuaJPM akishapita awaondoe wasaidizi wake wamemuangusha Sana hasa polymaga, haiingii akilini msiba mkubwa Kama wa Mkapa ushindwe kufanywa kiinternational kulingana na hazi aliyokuwa nayo hata kwa viongozi kuja wamejifunika taulo kama alivyomwambia Mganda eti Sasa hivi ndo amuitie hao viongozi kwa mwaliko wa serikali wakati huu ambao anamajukumu ya muhimu.
Wa leo sio mpuuzi lakini waliyoongea kule ndani ni mazito.Wa leo mdo mpuuzi kabsa.ana sahau kama ata yeye alipo tokea ni wapi