Uchaguzi 2020 Je, kinachowaleta Marais wa nchi jirani ni kumpigia kampeni mwenyeji wao?

Wabongo wengi akili zenu ni pungufu...kuna siku huyu JPM mtamkumbuka na kurudi kusema afadhari JPM,kama sasa hivi mitaani waliomuita JK ni fisadi hafai..watu wale wale nowdays wanasema eti JK alikua bora sana na wanamkumbuka,so akili zao finyu ni kama za kwako
May Lord save me from that tragedy
 
Wabongo wengi akili zenu ni pungufu...kuna siku huyu JPM mtamkumbuka na kurudi kusema afadhari JPM,kama sasa hivi mitaani waliomuita JK ni fisadi hafai..watu wale wale nowdays wanasema eti JK alikua bora sana na wanamkumbuka,so akili zao finyu ni kama za kwako
Magufuli ni binadamu
Kuna mahali anakosea na
Kuna mahali anafanya vizuri

Kwa hiyo mapungufu yake hayafuti strengths zake
 
Mfululizo wa maraisi wa nchi jirani wanaokuja kutembelea Tanzania, kipindi hiki cha kampeni una lengo la kumpigia kampeni Magufuli?

Ukianzia kwa Rais wa Uganda, ukaja kwa Rais wa Burundi na sasa Rais wa Malawi, wote lazima waongelee 'Magufuli atashinda' kwani wana uhakika gani?

Natarajia marais zaidi wa nchi jirani kujitokeza kuja kumtembelea Mwenyeji wao.

Kura za Magufuli zitatokana na mambo aliyoyafanya tangu 2015 mpaka sasa. Sisi wananchi tunafahamu nini cha kufanya hapo Oktoba 28 kwasababu aliyeridhika na mambo hayo atampigia kura na ambaye hakuridhika basi atapiga kwingine.

Huu ni uchaguzi unaoenda kuamua ama tuendelee na hali kama ya 2015-2020 au tubadilishe upepo.
Anawalipa bei mbaya ili waongeee kitu kitakachombeba
 
JPM akishapita awaondoe wasaidizi wake wamemuangusha Sana hasa polymaga, haiingii akilini msiba mkubwa Kama wa Mkapa ushindwe kufanywa kiinternational kulingana na hazi aliyokuwa nayo hata kwa viongozi kuja wamejifunika taulo kama alivyomwambia Mganda eti Sasa hivi ndo amuitie hao viongozi kwa mwaliko wa serikali wakati huu ambao anamajukumu ya muhimu.
Hii tabia ya kuwasingizia wasaidizi wake ikome, huyu mtu anajulikana kwa ubishi, sasa hao wasaidizi mnakata wamlazimishe kufanya jambo ambalo hataki kufanya ?
 
Wanampigia kampeni kwa nani sasa wakati mtu kama mimi tangu trh 26 August nilishafanya maamuzi ya kumchagua Tundu Lissu , yaani sisikii wala siambiliki hata aje Donald Trump kumpigia kampeni Meko sitabadili uamuzi wangu ng'ooooooooooo

Mkuu bora hata ww umefanya uamuzi juzi, mimi toka nianze kupiga kura 2005 mpaka sasa sijawahi na wala sintokaa niwapigie kura ccm. Kura yangu ni upinzani tu hususani cdm.
 
Kusema kweli 2015 kura yangu nilimpa Magufuli
 
Wabongo wengi akili zenu ni pungufu...kuna siku huyu JPM mtamkumbuka na kurudi kusema afadhari JPM,kama sasa hivi mitaani waliomuita JK ni fisadi hafai..watu wale wale nowdays wanasema eti JK alikua bora sana na wanamkumbuka,so akili zao finyu ni kama za kwako
Watu wanamsifu JK, au wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili kumnanga jiwe? Kaa ukisubiri watu wasimfie JK.
 
Wabongo wengi akili zenu ni pungufu...kuna siku huyu JPM mtamkumbuka na kurudi kusema afadhari JPM,kama sasa hivi mitaani waliomuita JK ni fisadi hafai..watu wale wale nowdays wanasema eti JK alikua bora sana na wanamkumbuka,so akili zao finyu ni kama za kwako
Hebu tumia maneno ya staha basi unapotaka kujenga hoja. Haimanishi kutomkubali mtu fulani basi akili yako itakuwa pungufu. Kila mtu ana mawazo yake hivyo huwezi kumlazimisha apende kitu fulani kama unavyopenda wewe ndio umuone kuwa ana akili timamu. Ni lazima ukubali kutofautiana na wenzako vinginevyo kila wakati utakuwa ni mtu wa kutokana wenzako tu.
 
Kila mtu ana kiwango chake cha chini na cha juu cha kuhuzunika. Ni watu watatu tu duniani wasio ndugu zangu ambao wamewahi kunifikisha kwenye peak ya huzuni yangu;
1.Kifo cha Mwl Nyerere.
2.Kifo cha Princess Diana.
3.Shambulizi dhidi ya Lissu.

Kwa hiyo huzuni niliyopata sept 7,2017 nitailipiza Okt 28,2020.

Kifo cha Princess Diana kinakuhusu nini wewe mmatumbi! Wazungu weusi mnatabu sana
 
Wabongo wengi akili zenu ni pungufu...kuna siku huyu JPM mtamkumbuka na kurudi kusema afadhari JPM,kama sasa hivi mitaani waliomuita JK ni fisadi hafai..watu wale wale nowdays wanasema eti JK alikua bora sana na wanamkumbuka,so akili zao finyu ni kama za kwako
Kwangu mimi JPM is the best President ever in the history of Tanzania.
 
Mfululizo wa maraisi wa nchi jirani wanaokuja kutembelea Tanzania, kipindi hiki cha kampeni una lengo la kumpigia kampeni Magufuli?

Ukianzia kwa Rais wa Uganda, ukaja kwa Rais wa Burundi na sasa Rais wa Malawi, wote lazima waongelee 'Magufuli atashinda' kwani wana uhakika gani?

Natarajia marais zaidi wa nchi jirani kujitokeza kuja kumtembelea Mwenyeji wao.

Kura za Magufuli zitatokana na mambo aliyoyafanya tangu 2015 mpaka sasa. Sisi wananchi tunafahamu nini cha kufanya hapo Oktoba 28 kwasababu aliyeridhika na mambo hayo atampigia kura na ambaye hakuridhika basi atapiga kwingine.

Huu ni uchaguzi unaoenda kuamua ama tuendelee na hali kama ya 2015-2020 au tubadilishe upepo.
Hapana, Chakwera alianza kwenda Zambia, Zimbabwe na Msumbiji na ziara hizi za siku mbili mbili ndani ya wiki tatu na sasa Tanzania, nchi zote hizi zinaizunguka Malawi.
 
Marais wote wanakuja kwa mialiko ya kiserikali na wanamuona jpm kama nabii wa maendeleo kwa ukanda huu
Miaka 5 GDP $ 30..bwa bwa bwa ..wakati Kikwete Kikwete miaka kumi $600...bwa bwa bwa
 
Kila mtu ana kiwango chake cha chini na cha juu cha kuhuzunika. Ni watu watatu tu duniani wasio ndugu zangu ambao wamewahi kunifikisha kwenye peak ya huzuni yangu;
1.Kifo cha Mwl Nyerere.
2.Kifo cha Princess Diana.
3.Shambulizi dhidi ya Lissu.

Kwa hiyo huzuni niliyopata sept 7,2017 nitailipiza Okt 28,2020.

4.kuangukia pua kwa mgombea wako.
 
Rais Wa Mozambique
Rais Wa Kenya
Rais Wa Sudan Ya Kusini
Rais Wa Zambia
Hawa Waanze Kujiandaa Kuja Tanzania
 
Back
Top Bottom