Uchaguzi 2020 Je, kinachowaleta Marais wa nchi jirani ni kumpigia kampeni mwenyeji wao?

May Lord save me from that tragedy
 
Magufuli ni binadamu
Kuna mahali anakosea na
Kuna mahali anafanya vizuri

Kwa hiyo mapungufu yake hayafuti strengths zake
 
Anawalipa bei mbaya ili waongeee kitu kitakachombeba
 
Hii tabia ya kuwasingizia wasaidizi wake ikome, huyu mtu anajulikana kwa ubishi, sasa hao wasaidizi mnakata wamlazimishe kufanya jambo ambalo hataki kufanya ?
 
Wanampigia kampeni kwa nani sasa wakati mtu kama mimi tangu trh 26 August nilishafanya maamuzi ya kumchagua Tundu Lissu , yaani sisikii wala siambiliki hata aje Donald Trump kumpigia kampeni Meko sitabadili uamuzi wangu ng'ooooooooooo

Mkuu bora hata ww umefanya uamuzi juzi, mimi toka nianze kupiga kura 2005 mpaka sasa sijawahi na wala sintokaa niwapigie kura ccm. Kura yangu ni upinzani tu hususani cdm.
 
Mkuu bora hata ww umefanya uamuzi juzi, mimi toka nianze kupiga kura 2005 mpaka sasa sijawahi na wala sintokaa niwapigie kura ccm. Kura yangu ni upinzani tu hususani cdm.
Kusema kweli 2015 kura yangu nilimpa Magufuli
 
Watu wanamsifu JK, au wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili kumnanga jiwe? Kaa ukisubiri watu wasimfie JK.
 
Hebu tumia maneno ya staha basi unapotaka kujenga hoja. Haimanishi kutomkubali mtu fulani basi akili yako itakuwa pungufu. Kila mtu ana mawazo yake hivyo huwezi kumlazimisha apende kitu fulani kama unavyopenda wewe ndio umuone kuwa ana akili timamu. Ni lazima ukubali kutofautiana na wenzako vinginevyo kila wakati utakuwa ni mtu wa kutokana wenzako tu.
 

Kifo cha Princess Diana kinakuhusu nini wewe mmatumbi! Wazungu weusi mnatabu sana
 
Kwangu mimi JPM is the best President ever in the history of Tanzania.
 
Hapana, Chakwera alianza kwenda Zambia, Zimbabwe na Msumbiji na ziara hizi za siku mbili mbili ndani ya wiki tatu na sasa Tanzania, nchi zote hizi zinaizunguka Malawi.
 
Marais wote wanakuja kwa mialiko ya kiserikali na wanamuona jpm kama nabii wa maendeleo kwa ukanda huu
Miaka 5 GDP $ 30..bwa bwa bwa ..wakati Kikwete Kikwete miaka kumi $600...bwa bwa bwa
 

4.kuangukia pua kwa mgombea wako.
 
Rais Wa Mozambique
Rais Wa Kenya
Rais Wa Sudan Ya Kusini
Rais Wa Zambia
Hawa Waanze Kujiandaa Kuja Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…