Je, Kinana ni mzalendo?

Kinana naye akaja kama mfanya biashara! Akafungua kampuni zake za utalii na uwindaji. Sawa kila majambazi wa kisomali wakishikwa kuna note inatoka juu zaidi serikalini inasema waachiwe… ni ndugu wa kinana!
Kumbe yale meno ya tembo yaliyokamatwa kwenye meli yake yalitoka kwenye biashara zake za uwindaji?!
 
Hakika Kinana hajawahi kunishawishi lakini hii tabia ya Watanzania kusagiana kunguni ni rekodi ya dunia
 
Siku hizi wewe ndugu umebadirika sana, you are slave of faith,
Ungekosoa wapi nimeandika uongo...
Kinana rise ilikuja baada ya kuombwa kum replace Paul Sozigwa kama mwenyekiti wa Kampeni ya Mkapa ..1995..... vyeo vyote vilivyofata anaombwa na anapendekezwa ..
Wewe unaamini lazima tuongee nagative kuhusu Viongozi wa CCM ndo tuonekane tuko "focused"?
 
Oscar kambona hakuwa raia wa Tanzania? Kwahiyo songea ni msumbiji?
 
Kinana ni fisadi hilo halina mjadala, ndio maana amerudi tu kwenye system na kelele za kuwahamisha wamasai Loliondo zikaanza, hana maarifa yoyote, hata huko CCM humtumia kwa ajili ya wizi wa kura tu, damu yake ina vimelea vya wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…